Katibu Mtendaji, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala atoa salamu “Kongamano la Kukuza Maadili na Mapambano Dhidi ya Rushwa”
30 Nov, 2022
Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Ndugu. Patience K. Ntwina akitoa salamu katika Kongamano la Kukuza Maadili na Mapambano Dhidi ya Rushwa lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Chimwaga uliopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma tarehe 26 Novemba, 2022 ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Mhe. Deogratius John Ndejembi (Mb), Naibu Waziri, Ofisi ya Rais - Utumishi wa Umma na Utawala Bora.