Tanzania kuendelea kulinda na kutetea haki za Wanawake
23 Oct, 2023
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itaendelea kukuza na kulinda haki za wanawake na kuhakikisha ananufaika na haki za bianadamu na watu.kwa kuzingatia matakwa ya Itifai ya Maputo ya mwaka 2003.
Kauli hiyo imetolewa leo tarehe 22 Oktoba 2023 na Mkurugenzi Msaidizi kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Bw. Richard Kilanga wakati akitoa maelezo ya nchi kuhusu hali ya haki za wanawake nchini ikiwa ni mwendelezo wa vikao vya Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu