THBUB yaendelea kukusanya maoni
04 Aug, 2024
Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeendeleakufanya ziara yake katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar.
Julai 31,2024 imekutana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Rashid Hadidi
Ujumbe THBUB uliongozwa na Makamu Mwenyekiti was Tume Mhe.Mohamed Khamis Hamad.
Aidha, Mhe. Mohamed alieleza kuwa lengo la ziara hiyo ni kukusanya maoni yawadau mbalimbali katika Uandaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa Haki za
Binadamu na Biashara.
Maeneo Mengine yaliyofikiwa ni Donge,chechele kuzungumza na Wananchiwanaongukwa na mashimo ya mchanga ,kuongea na Viongozi wa Hoteli na wafanyakazi na wakazi jirani wa huduma za kitalii.